LAZARO NYALANDU AREJEA SINGIDA


Former minister Lazaro Nyalandu ditches opposition to rejoin CCM - The  Citizen

SIKU chache baada ya kurejea Chama Cha Mapinduzi  (CCM) akitokea Chadema alikoelekea mwaka 2017 wakati wa Mkutano mkuu maalumu, jana Lazaro Nyalandu alipokewa nyumbani kwao mkoani Singida.

Katika shamra za kumpokea waziri huyo wa zamani wa Maliasili na Utalii, aliambatana na viongozi mbalimbali wa vyama vya upinzani, akiwemo Dr Robert Bujiku aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Joyce Sokombi aliyekuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA 2015/2020 aliyekuwa mgombea ubunge kupitia NCCR MAGEUZI jimbo la Musoma Mjini na katibu Mkuu wa wanawake NCCR Mageuzi (Taifa) Bi Tabitha Mkube na Robert Mpemba aliyekuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Rukwa walioamua kujiunga na CCM jana.

Wanachana hawa wapya wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida.

No comments