BILIONEA WA KWANZA MWEUSI UINGEREZA

RAIA mmoja wa Uingereza, mweusi mwenye asili ya Zimbabwe, Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza akijishughulisha na biashara ya Telecom.
Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver.Anadaiwa kuwa mwepesi kutoa misaada kwa bara la Afrika hasa amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid kwa waafrika.
Masiyiwa mwenye umri wa miaka 60, alizaliwa 1961 Zimbabwe.
Wazazi wake walitoroka naye nchini humo akiwa na miaka saba kwenda Zambia
wakati mabeberu Ian Smith walipoichukua.
Alisoma primary school Zambia baadaye kutorokea na wazazi wake Uingereza.
Alirudi Zimbabwe 1998 na kuanzisha kampuni ya Telecom wireless jina Econet. Lakini Mugabe akamnyima leseni ikabidi aipeleke serikali mahakamani. Kesi ilichukua miaka tano baadaye akashinda.
Sasa hivi kampuni yake inafanya vizuri sana Africa, Ulaya, Asia na South America.

Post a Comment