KOMANDO JIDE ATOA MPYA

 

Lady Jaydee turns 41, denies getting back with her ex-hubby – Nairobi News


WAKATI kila mmoja hupenda kupewa hongera inapofika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake, hali imekuwa tofauti kidogo kwa mkongwe wa Afro Pop nchini, Lady Jaydee baada ya kuwapiga watu mkwara.

Kupitia akaunti yake huko Instagram, Jide ameandika: "Niwataarifu tu kuwa napokea zawadi za birthday kuanzia leo hadi tarehe 21 June.
Wahi nafasi ya kunizawadia mapema ili uongezwe kwenye list ya wana familia wangu
."

No comments