HIVI NDIVYO WAJANJA WALIVYOPIGA MABILIONI WIZARA YA FEDHA, MARCH, APRIL NA MEI

Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum).
Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/.
Mwezi April.
Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/=
Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/=
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,900,000/= (kuandaa mpango wa
kuhifadhi mazingira).
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 14,400,000/=
(siku ya wanawake)
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,000,000/=
Mei mosi siku
ambayo sio ya kazi.
Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi asubuhi Shilingi 184,100,000/=
Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi Mchana Shilingi 264,000,000/=
Tarehe 03/05/2021 Shilingi 146,500,000/=
(Kuandika mpango Kazi wa manunuzi watu125 
Siku hiyo hiyo tena Shilingi 171,200,000/=(kuandaa nyaraka za
bunge).
Halafu kibaka
aliyeiba kuku unashiriki kumchoma moto!

Post a Comment