FRED VUNJABEI ATOA SOMO KWA VIJANA

KATIKA tafsiri inayoweza kusemwa kuwa anatafuta ukaribu na watu waliomzidi fedha, mfanyabiashara kijana Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei, amewapa somo muruwa vijana wenzake.
Katika kurasa zake
kwenye mitandao ya kijamii, Fred Vunjabei amesema: Ni vizuri kumsogelea aliyekuzidi
ili ujifunze vikubwa na siyo kutegemea vidogo kutoka mfukoni mwake..
Huu pia unaweza
kuwa ujumbe kwa wale ambao watoto wa mjini wanawaita 'Chawa'.

Post a Comment