ENZI ZA POLEPOLE CCM ZAFIKIA KIKOMO LEO DAR

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hamphrey Polepole leo amefikia tamati ya wadhifa huo baada ya kukabidhi rasmi ofisi kwa mrithi wake, Shaka Hamidu Shaka, katika ofisi ndogo ya chama hicho, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katika makabidhiano hayo, yaliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali, shaka amesema Chama Cha Mapinduzi bado kipo imara na kitaendelea kuwa imara kutokana na uongozi madhubuti wa mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.\

Post a Comment