DRAKE AKODI UWANJA WA WATU 70,000, AWAPA MISOSI

 

Daily Trojan | East Coast Memo: Is Drake's public image actually good?

AUBREY Graham, mmoja wa wasanii wakubwa wa Hip Hop duniani ambaye ni maarufu kama Drake, amekamata headlines mbalimbali za kiburudani, kufuatia hatua yake ya kuukodi uwanja wenye uwezo wa kuingiza watu 70,000, kisha akawaingiza ndugu, jamaa na marafiki zake kusherehekea tuzo aliyopata.

Drake kutoka Canada, alipata tuzo ya msanii wa muongo Artist Of The Decade kutoka BBMAs na hivyo kuukodi Uwanja wa SoFi unaopatikana katika eneo la Inglewood, jijini California.

Hata hivyo katika hafla hiyo pia 
#Drake alijumuika pamoja na watu mbalimbali kama vile ndugu, jamaa na marafiki kwa ajili ya kujipatia chakula cha usiku 

Uwanja huo wa 
#SoFi ulipambwa kwa kuchapishwa maneno kwenye mabango yaliyokuwa ndani ya uwanja huo kwa kusomeka "Artist of the Decade" 


No comments