BUMBULI AITISHA TANZANIA PRISONS, KUHUSU ASUKILE


Benjamin Asukile: Jeshini hakuna urembo wala Biriani, asema mazoezini  hucheza kwa nguvu sana kuliko hata kwenye mechi. Awataka simba waache kulia  | JamiiForums


Anaandika Hassan Bumbuli, Msemaji wa Yanga katika ukurasa wake wa Facebook:

"Nahodha wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile ametoa tuhuma mzito dhidi ya Yanga, 1. Amesema tuliwazidi kwa sababu tulimuongeza Refa upande wetu,  Hili tunataka alithibitishe, Kivipi na kwa namna gani!?

2. Walikuwa wakiwapigia simu na kutaka kutoa Mil 40 (Rushwa) I'll watuachie game, hili pia tunataka alithibishe mbele ya ya Mamlaka husika.

Hakuna namna ambayo Yanga tunaweza kuvumilia kuchafuliwa  kwa kiwango hiki.  Asukile anasahahu kwamba ushindi pekee ambao Timu yake imewahi kuupata tangu msimu wa 2018/19 hadi sasa ni sare tatu tu katika mechi Nane.

Msimu wa 2018/19 tuliwafunga mabao 3-1 kwao, pia tukawafunga 2-1 kwa Mkapa. Msimu wa 2019/20 tuliwafunga 1-0 kwao (Samora), wakaambulia sare kwa Mkapa na tukawatoa kwenye FA kwa mabao 2-0.

Msimu huu wamebahatika kupata sare mechi zote mbili za Ligi, na Jana wamekaa kwao, sasa huo ujasili wa Asukile na kujitoa ufahamu kuona wao ni wababe ameutoa wapi?  Tutazifikisha tuhuma hizi zote kwa Mamlaka husika ASAP.

No comments