AZAM MEDIA YAVUNJA REKODI MKATABA TFF

KAMPUNI ya Azam
Media, ambayo ina mkataba wa kuonyesha Ligi Kuu Tanzania Bara na Shirikisho la
Soka Nchini TFF, limevunja rekodi baada ya kuingia makubaliano ya kuifanya kazi
hiyo kwa dau la zaidi ya shilingi bilioni 200.
Tofauti na mkataba
uliopita ambao ulikuwa na thamani ya shilingi bilioni 23 pekee, safari hii timu
zote zitakazocheza Ligi Kuu zitaondoka na mshiko, huku bingwa kuanzia msimu
ujao, akijihakikishia kitita cha shilingi milioni 500.

Post a Comment