AMOS MAKALA AIKOROGA DAR ES SALAAM


CHANGAMOTO ZA 'WAMACHINGA' ZAHITAJI UFUMBUZI WA HARAKA | Gazeti la Rai

 SIKU chache tu baada ya kutamka kuwa ana mpango wa kuwarudisha makwao wananchi wote wanaofanya kazi ya kuomba mitaani jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla, sasa amewageukia wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga.

Makala amewaagiza Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri zote za mkoa huo kuwapanga upya wafanyabiashara hao.

RC Makalla ametoa agizo hilo alipokutana na watendaji wa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amewaeleza vipaumbele vyake huku akisisitiza kuwa hafurahishwi na mfumo wa ufanyaji biashara kiholela unaotumiwa na wafanyabiashara hao hivi sasa.

No comments