NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI AKAGUA DARAJA


 Sehemu ya Daraja la Magara lenye urefu wa meta 84, lililokamilika kujengwa na Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), kwa gharama ya shilingi bilioni 12.6 kwa kipindi cha miezi 24. Daraja hilo liko kwenye mto Magara eneo la Mwada katika barabara ya Mbuyu wa Mjerumani hadi Mbulu.


 

No comments