WANANIOGOPA

Fellaini : "Nadhani mimi ndiye mchezaji ninayeogopwa zaidi. Katika kambi zote ambazo nimekaa, hakuna mtu anayepata ujasiri wa kusema na mimi kwa kunitazama usoni au kunibwatukia. Lakini hawajui ni namna gani nilivyo mpole. Kama kocha hatanipanga kwenye kikosi kinachoanza, basi atamtuma kepteni aje aongee na mimi kiupole aniambie kwa nini sikupangwa. Lakini kiukweli ndani ya nafsi yangu sijawahi kuwa na jambo lolote baya kwa kocha. wananichukulia mimi kama mtu mbaya.

Post a Comment