DEMBELE AANGUKA MAZOEZINI, APOTEZA FAHAMU
MSHAMBULIAJI wa Moussa Dembélé ameanguka akiwa mazoezini hivi leo na kupoteza fahamu. Ililazimu madaktari wa timu hiyo kuwahi haraka kumpatia matibabu.
Baadaye hali yake ilirejea katika utimamu wake na aliweza kutembea mwenyewe bila kushikiliwa alipotoka nje ya Uwanja. Kwa sasa yupo hospitalini akichukuliwa vipimo zaidi ili kujua afya yake.
Get Well Soon

Post a Comment