NABII KINUNDA ALITABIRI KIFO CHA MAGUFULI
WAKATI Taifa likiwa
linaanza maisha bila uwepo wa Rais wake wa Tano duniani,
John Pombe Magufuli, Nabii Kinunda wa Kanisa la Elishaddai International,
lililopo Boko Basihaya, alishatabiri kifo chake tangu Januari 17, mwaka huu.
Katika ibada ya
Januari 17, 2012 kanisani kwake, Nabii Kinunda alitabiri juu ya kifo cha
kiongozi mkubwa Afrika Mashariki na baadaye Februari 21, 2012, akatabiri kifo
cha kiongozi mkubwa Tanzania ambako bendera zitapepea nusu mlingoni.
Tazama video hii
hadi mwisho...

Post a Comment