BOSI BANDARI ATUMBULIWA

 Dailynews

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Injinia Deusdedit Kakoko kupisha uchunguzi “Kuna ubadhirifu mkubwa Bandarini naomba TAKUKURU ikafanye kazi, nimeletewa ripoti ya ubadhirifu wa Bilioni 3.6 

No comments