RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AAGIZA UHAKIKI BOT


 KAULI YA GAVANA BOT MASHARTI YA KUSAFIRISHA FEDHA ZA KIGENI - YouTube

Naomba nitoe agizo kwako CAG na Gavana wa Benki yuko hapa, naomba uende ukapitie fedha zote zilizotoka kuanzia January hadi Mwezi huu March kwenda kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo tunataka kuziona”-Rais Samia Suluhu akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Ikulu Dodoma leo.

No comments