BENDERA UN KUPEPEA NUSU MLINGONI


KATIKA kuenzi kifo cha Rais wa Awamo ya Tano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli, Umoja wa Mataifa (UN) umesema siku ya Machi 26, 2021 ambayo ndiyo siku ya maziko ya kiongozi huyo, benderayake itapepea nusu mlingoni katika Makao Makuu yake yaliyoko New York nchini Marekani.
Taasisi hiyo imezitaka ofisi zake zote ulimwenguni kufanya hivyo ikiwa ni heshima kwa Rais huyo


 

No comments