MWANZA MWANZA
GARI lililobeba mwili wa Rais John Pombe Magufuli likizunguka katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ili kuwawezesha wakazi wa jiji hilo kuuaga kwa kuupungia mikono. Baada ya zoezi hilo mwili huo utazunguka katika mitaa kadhaa kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Chato kusubiri kuagwa tena kesho

Post a Comment