MHE. SANGA(Mb) ASHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI

 


Washington Dc- WorldBank 18th St NW.


Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga ameungana na Wabunge Duniani  Nchini Marekani, ambao ni wanachama wa mtandao wa Wabunge kuhusu Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwenye Mkutano wa mwaka 2024.

Mkutano huo unakusanya Wabunge wanachama Mtandao wa Benki ya Dunia na shirika la Fedha, Taasisi za Fedha na Wizara za Fedha ulimwenguni kote unafanyika Marekani kwa muda wa wiki mbili Makao makuu ya Benki ya Dunia-Washington DC.

No comments