Tatizo la kuwa na damu nyingi mwilini

 


Na Mr. Kisena 

 0717381820 

 HOJA YAKO 


✨Damu kuzidi ni ugonjwa na kitaalamu unaitwa polycythaemia yaani kuongezeka kwa celi nyekundu za damu mwilini 

✨Watu wenye ugonjwa huu wana damu nzito ivo kupelekea damu kuzunguka mwilini kwa shida

✨ Polycythaemia ina weza sababishwa na cancer ya ini au figo au uvimbe wowote katika cell zinazo zalisha chembe nyekundu za damu

✍️Dalili kuu za polycythaemia (kuzidi damu mwilini) ni pamoja na÷

🌂Kizunguzungu

🌂Kichwa kuuma

🌂Maumivu ya misuli

🌂Maumivu ya kifua

🌂Kuwashwa mwili

🌂Shinikizo  la juu la damu(hypertension)

etc


✍️BAADHI YA MADHARA

🌂Kuumwa kichwa..

🌂Kushindwa kufanya shughuli zako za kila Siku..

🌂Kuishi ukiwa mtumwa wa dawa za hospital kama vile wagonjwa wa kisukari na presha....

🌂Badae unaweza kuzidiwa na kuanguka na hata kupoteza maisha

☔Stroke-kupalalaizi..


✍️ USHAURI NA UTATUZI WA CHANGAMOTO HIYO 

🥂Kwa sababu shida inatokana na seli za damu, maanayake ni kwamba hata tiba lazima ihusishe seli za mwili...

🥂Lazima Upate dozi yenye uwezo wa kusafisha seli zako za mwili na ukawa katika Hali ya kawaida.... Hilo linawezekana kabisa.

🥂Epuka kula vyakula vyenye protein nyingi.

🥂 Acha kula mboga za majani nyingi hasa zinazoongeza sana Damu mwilini.

🥂 Jitahidi katika kila mlo wako wa kila siku yaani iwe asubuhi mchana ama jioni unakuwa unasindikizwa na chai ya rangi isiyokuwa na viungo vyovyote, yaani weka majani tu na sukari kwa mbali ama ukiweza tumia asali badala ya sukari. Hiyo iwe ni sehemu ya maisha yako yote.

🥂 Usijaribu kabisa kutoa damu, kwani ukishatoa tu maramoja basi uzalishaji wa damu katika mwili wako utaongezeka maradufu zaidi ya ulivyo sasa, kama chemichemi za maji vile, itakulazimu kila baada ya miezi mitatu (3) uwe unatoa Damu.

Kama hilo huwezi basi kajiandikishe kabisa uwe mchangiaji damu wa kudumu ili kuokoa na Maisha ya watu wengine, unaweza kuwa unachangia Damu kila baada ya miezi mitatu na ukaokoa maisha ya watanzania wengi wenye uhitaji. 😁

Lakini pia waweza kuja inbox kwa maelezo zaidi ya kina nitakusaidia kukupa ushauri wa mara kwa mara pale utakapo uhitaji.

No comments