Rais wa China, Xi Jinping amelitaka jeshi la nchi yake kukaa tayari kwa vita vya majini wakati wowote. Hata hivyo, haijaeleweka amri hiyo ni kwa ajili ya nini na nani anatafutwa. China ina uhusiano usio vyema na Kisiwa cha Taiwan huku akiwa ni swahiba mkubwa wa Korea Kaskazini.
Post a Comment