WABUNGE WALILIA BOTI NA VIZIMBA KWA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI.

 

 King Bashite, Misungwi Mwanza

Mapema leo hii Mhe Mbunge wa  Jimbo la Misungwi na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameshambuliwa kwa maswali lukuki na Wabunge wakitaka kupata vifaa vya Uvuvi ,Boti za kisasa na vizimba kwa ajiri ya wavuvi wa maeneo yao.

Mhe Naibu Waziri Mnyeti amejibu maswali yote kwa ufanisi mkubwa na Wabunge wameonyesha kuwa na  Imani kubwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi toka zoezi la kugawa Boti, zana za Uvuvi na vizimba maeneo  mbali mbali na tarehe 30/01/2024 jijini Mwanza Ambapo Mhe Rais Dr Samia Hassan suluhu alikuwa Mgeni Rasmi.

Hakika Wizara hii imejipanga sana.


No comments