Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme uishe mwezi June
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili, tunawapongeza sana na mmerejesha mpaka mwezi wa tatu kwa hizo mashine zote kukamilika, Bunge linawapa mpaka mwezi wa sita ili bunge linapokuwa hapa mgao uwe umeisha, tunawapongeza sana kwa kazi nzuri," - Spika wa Bunge

Post a Comment