Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Mkutanoni Baada ya Kulalamikiwa na wananchi

 

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi, Paul Mkaonda ambaye anaendelea na ziara yake mkoani Rukwa, leo akiwa katika mkutano wake wa hadhara, amemtimua mkutanoni Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi.
Tukio hilo lilitokea baada ya Mwenezi kama ilivyo kawaida yake, kutaka wananchi kutoa kero zake ndipo ilipobainika kuwa wananchi wengi walikuwa wakimlalamikia yeye kwa madai mbalimbali.


No comments