Licha ya kutokuwa na madini, Rwanda yavunja rekodi uuzaji dhahabu nje
Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo haina madini ya dhahabu.
Credit: Jamii Forum

Post a Comment