CCM HATUTAKI KUMUONA RAIS SAMIA AKIOMBA KURA KWA KUPIGA MAGOTI - MAKONDA
“Tuliopata bahati tuna jukumu la kuwatanguliza wananchi kusikiliza changamoto zao na ndio dhamira ya Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kilichinibadilisha mimi sio sura bali ni kauli ya Rais Dkt. Damia hivyo ukijisahau na ukasahau wajibu wako basi hata Mungu anakuondoa na kuwapa nafasi wengine, lazima kuwasikiliza Wananchi”
“Hivyo Mwenezi mimi Makonda nimehapa hata watumishi wazembe sina huruma nanyi, hatutaki kumuona Mwenyekiti wetu na Rais Dkt. Samia anakuja kuomba kura kwa kupiga magoti kisa uzembe wako wewe Kiongozi, Mtendaji au Mtumishi wa Serikali...mkifanya kazi zenu vizuri bila malalamiko basi haki itatawala”

Post a Comment