WAZIRI DKT JAFO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KISARAWE AHIMIZA UMAKINI KWA WASIMAMIZI WA MIRADI

KISARAWE- PWANI


Waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Muungano na Mazingira MHE DKT SELEMANI SAIDI JAFO leo 03.12.2024 amefanya ziara ya ukaguzi wa miardi katika Kata za BOGA,VIKUMBURU,MARUI NA CHOLE,

Akizungumza wakati wa ukaguzi huo alisema kuwa binafsi Kuna Baadhi ya Miradi kasi yake ni ndogo mno hivyo naagiza mpaka ifikapo mwezi much iwe imekamilika,

"03.01.2024 naagiza mpaka ifikapo mwezi wa much hili jengo hapa la walimu liwe limekamilika na tayari walimu waweze kulitumia Alisisitiza MHE DKT JAFO"

"Miradi Ni mingi na fedha zishatolewa hivyo sioni sababu kwa Baadhi ya miradi liyokamilishiwa fedha isiishe ili iweze kutumika kwa jamii alisisitiza MHE DKT JAFO  

Aidha katika ziara hiyo MHE DKT JAFO aliambatana na Baadhi ya wakuu wa idara na vitengo kutoka halmashauri ya wilaya kisarawe kwa lengo la Kupitia kukagua miradi ya elimu,afya,maji pamoja na kuzungumza na wananchi katika Kata za marui,chole na Vikumburu,


No comments