RAIS AONGOZA NAADHINISHO YA MIAKA 62 YA UHURU JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru
kuhusu kazi mbalimbali ambazo zinafanyika katika Tume hiyo wakati wa
Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Desemba,
2023. Maadhimisho hayo pamoja na uzinduzi wa Mchakato wa ukusanyaji
maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, yamefanyika kwenye ukumbi
wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Post a Comment