NAIBU WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA CHATO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Chato kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara. Komrade Abdulrahman Kinana. Mkutano ulihusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 "KAZI INAENDELEA"

No comments