KINANA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA CHATO

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Chato mkoani Geita. Mkutano huo umehusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 "KAZI INAENDELEA"

No comments