Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024
Kauli Mbiu;
Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, litafanya Mkutano Maaalum kwa ajili ya kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, katika ukumbi wa Mlimani City hapo Januari 3 na 4 mwakani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hii leo, mkutano huo utakaowashirikisha viongozi, wanachama na wadau mbalimbali wa siasa nchini, utakua na kaulimbiu isemeyo TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA na mgeni rasmi wa mkutano huo anatarajiwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Othman Masoud Othman.

Post a Comment