Abdi Banda aiponza Chippa United kufungiwa na FIFA

 


SHIRIKISHO la soka la kimataifa FIFA, limeiamuru klabu ya Chippa United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini, kutofanya usajili wowote hadi pale itakapokuwa imemlipa madai yake, mwanasoka Acdi Banda, raia wa Tanzania,

Abdi Banda ambaye yupo katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars inayojiwinda kwa mechi za kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Niger na Morocco, anaidai timu hiyo kiasi cha shilingi milioni 160.

No comments