WATANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA FAINALI ZA 2026


Waamuzi wa Tanzania Arajiga Ahmed, Frank Komba, Kassim Mpanga na Ramadhan Kayoko wameteuliwa na FIFA kuwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, Cameroon vs Mauritius utakaochezwa Novemba 17,2023
Image


No comments