KIZIWI AWAUA WENZAKE 15 UINGEREZA AKIHISI KUSENGENYWA

 


Robert Card, mwenye umri wa miaka 40 kutokq Bowdon, Maine, amewaua kwa kuwapiga risasi watu 15, akidai kuwa walikuwa wakimteta, licha ya yeye mwenyewe kuwa ni kiziwi.

Kijana huyo ambaye hata hivyo alikamatwa na maofisa usalama, kwanza alifyatua risasi na kuwaua watu saba katika klabu moja iitwayo Just-In-Time Rkabla ya saa moja asubuhi na baadaye akaenda klabu nyingine Schemengees Bar & Grille ambako aliwaua viziwi nane, Watatu wengine walifia hospitali baadaye.

Katika kipindi chote hicho cha mashambulizi hayo ya kutisha, baa hizo zilikuwa zikiendesha mashindano ya kila mwaka ya jamii ya viziwi jijini London, ambako Card amewahi kushiriki mara kadhaa.

Taarifa za awali kutoka kwa shemeji wa mshambuliaji, zinasema kijana huyo alihisi kusengenywa na wenzake akisema hata hivyo amekuwa akipambana na afya yake ya akili kwa miaka kadhaa sasa.


No comments