KATIBU MKUU UWT JOKATE MWEGELO NA MIAKA MITATU YA RAIS HUSSEIN MWINYI ZANZIBAR

 

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania CCM Bi. Jokate Mwengelo akiwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari pamoja na viongozi wa umoja huo mkoa wa Dar es Salaam na wana CCM kuhusu Miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ambapo sherehe zake zitafanyika mwezi ujao visiwani Zanzibar



Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania CCM Bi. Jokate Mwengelo akiwasalimia viongozi na wana CCM mbalimbali wakati alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na  waandishi wa habari pamoja  viongozi wa umoja huo mkoa wa Dar es Salaam na wana CCM kuhusu Miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ambapo sherehe zake zitafanyika mwezi ujao visiwani Zanzibar




No comments