WANAFUNZI WA SEKONDARI PEMBA WAPIGWA MSASA FURSA ZA BAHARI
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi,
Bi. Stella Katondo akifafanua jambo kwa wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya
Mkanyageni (hawapo pichani) iliyopo Kisiwani Pemba kuhusu fursa zilizo katika
sekta ndogo ya Bahari, wakati wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya Bahari ambayo
kitaifa yanafanyika kisiwani humo.
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni, Jing Shaali akisoma moja ya kipeperushi alichopewa na Mkurugenzi wa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Stella Katondo (hayupo pichani), wakati Mkurugenzi na wataalam walipotembelea skuli hiyo iliyopo Kisiwani Pemba kutoa elimu ya kuhusu fursa zilizo katika sekta ndogo ya Bahari, wakati wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya Bahari ambayo kitaifa yanafanyika kisiwani humo.
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Moh’d Juma Pindua wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Stella Katondo (hayupo pichani) kuhusu fursa zilizo katika sekta ndogo ya Bahari, wakati wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya Bahari ambayo kitaifa yanafanyika kisiwani Pemba.
Mwanachama wa Taasisi ya Wanawake wanaofanya kazi katika sekta ya
Usafirishaji Majini kwa Ukanda wa Masharii na Kusini mwa Bara la Afrika
(WOMESA), Bi. Raya Khalfan akitoa elimu kuhusu fursa zilizo katika sekta ndogo
ya Bahari, kwa wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Chokocho iliyopo Kisiwani
Pemba, wakati wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya Bahari ambayo kitaifa
yanafanyika kisiwani humo.
Nahodha na Mkufunzi kutoka Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Haruna
Ally akitoa elimu kuhusu fursa zilizo katika sekta ndogo ya Bahari, kwa
wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Chokocho iliyopo Kisiwani Pemba, wakati wa
wiki ya maadhimisho ya wiki ya Bahari ambayo kitaifa yanafanyika kisiwani humo.
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Moh’d Juma Pindua wakimsikiliza
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Stella
Katondo (hayupo pichani) kuhusu fursa zilizo katika sekta ndogo ya Bahari,
wakati wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya Bahari ambayo kitaifa yanafanyika
kisiwani Pemba.

Post a Comment