BENKI YA DUNIA KUTOA BILIONI 700 KUSAPOTI KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 300 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 702 za Tanzania ili kuimarisha miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji nchini Tanzania chini ya mradi wa PforR (Programme for Results Financing).
Ahadi hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Nathan Balete alipokutana kwa mazungumzo na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Meneja wa Kilimo kutoka Benki hiyo Holger Kray, ambapo kwa pamoja wamejadiliana kwa kina namna bora ya kukuza na kuimarisha ushirikiano na Benki ya Dunia kwenye sekta Kilimo nchini Tanzania.
Waziri Bashe amesema mchango huo utasaidia kuongeza uhimilivu wa mifumo ya uzalishaji wa chakula


Post a Comment