SIMBA YAITANGAZIA MSIBA RAJA CASABLANCA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula (kushoto) ameitangazia msiba timu ya Raja Cansablanca ya Morocco ambao ni wapinzani wao wa pili Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Hiyo ni baada ya timu yao kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Horoya Fc ya Guinea, mchezo uliopigwa jana jioni jijini Conakry.

Kajula alisema Simba ilikosa bahati, kwani walicheza vizuri na kukosa mabao mawili ya wazi, hivyo baada ya hapo, katika Uwanja wao wa nyumbani Benjamin Mkapa, hatoki mtu

No comments