MIKOPO YA AWAMU YA 5 ITAJWE MIRADI ILIYOTEKELEZEWA

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema Deni la Taifa
limefikia Tsh. Trilioni 64, ambapo awamu ya tano ilikopa Dola Bilioni 9
(takribani Tsh. Trilioni 20) bila kuwa na uwazi.
Ametaka Deni la Taifa kuchunguzwa na miradi iliyofanywa kwa
mikopo katika Serikali ya Awamu ya Tano iangaliwe kama inaendana.
Aidha, Nape ameshauri uwazi uliopo kwenye Tsh. Trilioni 1.3
za IMF alizokopa Rais Samia uendelee kwa fedha nyingine.

Post a Comment