ZACHARIA HANSPOPE KUZIKWA JUMATANO IRINGA

KLABU ya
Simba imetangaza ratiba ya mazishi wa Mjumbe wake wa Bodi ya Wakurugenzi,
Zacharia Hanspope aliyefariki jana.
Imesema
mwili wake utaagwa Jumatatu kuanzia saa tatu asubuhi Karimjee Hall Dar es
Salaam kwa ajili ya watu wote na Jumanne itakuwa ni zamu ya familia kabla ya
kusafiri kuelekea Iringa ambako atazikwa Jumatano katika makaburi ya Kiheza
Mkimbizi

Post a Comment