MZEE JOSEPH BUTIKA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHADEMA

LEO Mwenyekiti wa
Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku amekutana na Katibu Mkuu wa
Chadema, John Mnyika.
Hata hivyo hakuna
taarifa iliyotolewa na taasisi zote mbili kuhusu kilichozungumzwa.


Post a Comment