TRAFIKI WAMKAMATA MTOTO AKIENDESHA TREKTA BARABARANI

 Inaweza kuwa picha ya Watu 2, nje na maandishi yanayosema 'Rsatz WRECK CAA'

ASKARI wa usalama barabarani jana walimkamata mtoto aliyekuwa akiendesha trekta akiwa na baba yake.

RTO wa Mkoa wa Tanga aliwaweka mahabusu katika kituo kidogo cha Polisi Michungwani (Segera) na baada ya baba mzazi kuomba msamaha na kuahidi kutorudia tena kosa hilo ameandikiwa faini ya makosa ya makosa mawili. 

No comments