BURNA BOY ASHUHUDIA RONALDO AKIPACHIKA MAWILI OLD TRAFFORD

MSANII nyota wa
muziki barani Afrika, Burna Boy wa Nigeria, jana alikuwepo uwanjani Old
Trafford akishuhudia gwiji Cristiano Ronaldo akirejea kwa kishindo akifunga
mawili wakati Mashetani Wekundu, Man United wakiimaliza Newcastle kwa mabao
4-1.

Post a Comment