RAIS AMTEUA DK. STERGOMENA KUWA MBUNGE

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Mbunge
wa Bunge la .Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Septemba 10, 2021.
Mhe. Dkt. Tax ameteuliwa kutoka kwenye nafasi kumi
za Wabunge wa Kuteuliwa na Rais.
Kabla ya uteuzi huo, Mhe. Dkt. Tax alikuwa Katibu
Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye
amemaliza muda wake mwezi Agosti, 2021.

Post a Comment