NUGAZ APUNGIWA MKONO YANGA, ALIYESABABISHA AAJIRIWE KUSHIKA MIKOBA YAKE
ANTONIO
Nugaz, Afisa Mhamasishaji wa klabu ya Yanga, ambaye aliajiriwa ili apambane na
aliyekuwa mhamasishaji wa Simba wakati huo, amemaliza mkataba wake na waajiri
hao hawana nia ya kumuongeza muda.
Taarifa
zilizopatikana mida hii zinasema Nugaz amepewa shukurani na uongozi huo kwa
kazi kubwa na iliyotukuka, lakini wamemalizana naye na nafasi yake sasa
inachukuliwa na Haji Manara ambaye atakiongoza kitengo cha uhamasishaji.

Post a Comment