MESSI AVUNJA REKODI YA PELE AMERIKA KUSINI

MSHAMBULIAJI nyota
wa PSG na Argentina, Lionel Messi, alfajiri ya leo amevunja rekodi ya mkongwe
Edson Arantes Do Nescimento Pele ya kufunga mabao.
Baada ya kufunga
mabao matatu dhidi ya Bolivia katika kuwania kufuzu kwa kombe la dunia,
mwanasoka huyo bora wa dunia mara sita, amefikisha mabao 78, akimuacha Pele kwa
bao moja na hivyo kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Amerika ya Kusini.

Post a Comment