KOCHA DIDIER GOMES WA SIMBA KUKAA JUKWAANI LIGI YA MABINGWA AFRIKA MSIMU HUU

 Didier Gomes - We'll show Al Ahly that we have grown into a great team



KOCHA Didier Gomes aliyeifikisha Simba robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita, mwaka huu atabaki jukwaani akiwatazama vijana wake baada ya kukosa vigezo.

Shirikisho la soka Afrika, limetoa orodha ya makocha ambao hawaruhusuwi kukaa kwenye bench la timu zao, kutokana na kukosa vigezo vya CAF A au UEFA PRO LICENCE

Didier Gomes (UEFA A Diploma) - Simba SC 

Erradi Mohamed Adil (UEFA Advanced Diploma) -APR 

Bosa Wasswa (CAF B) - Express FC (To be replaced) 

Diego Garzitto (UEFA A) -El Merreich SC

Comlan Mathias (German License) - ESAE FC 

Pascal Lafleurial (UEFA Elite Youth A) - DFCB 

Roque Sapir (CAF C Diploma) - GD Sagrada Esperança

Ame Khamis (CAF B) -KMKM 
Abalo Jean-Paul (UEFA A) - ASKO

No comments