MASHAHIDI WANNE WA UTETEZI KESI YA MBOWE KUFICHWA

 Kukamatwa kwa Mbowe: Zitto amtaka Rais Samia kuingilia kati - BBC News  Swahili

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu "Mahakama ya Mafisadi" imekubaliana na maombi ya upande wa utetezi wa kuficha Mashahidi wao wanne katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake.

Jaji Mustapha Siyani ameahirisha kesi hiyo hadi Septemba 15, 2021 ambapo itasikilizwa mfululizo ambapo upande wa utetezi una mashahidi 7 huku wanne wakiwa wamefichwa.

 

No comments