MAAFISA UBALOZI NCHI ZA ULAYA WAFIKA MAHAKAMA KUU KESI YA MBOWE

 Screen Shot 2021-09-10 at 11.08.52.png

WAKATI Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi ikiwaita watuhumiwa wa ugaidi Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu, baadhi ya maofisa wa balozi mbalimbali wameonekana katika viwanja vya mahakamani hapo wakiteta na Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika.

Screen Shot 2021-09-10 at 11.10.00.png

Wakiwa Mahakamani

IMG_9838.JPG






No comments