FALLY IPUPA KUFANYA MAONYESHO MAWILI NCHINI

 Control” by Fally Ipupa reaches 20 million streams on Spotify!

MWANAMUZIKI nyota wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC, Fally Ipupa atatumbuiza katika miji ya Dar es Salaam na Mwanza Oktoba mwaka huu.

Jijini Dar es Salaam, staa huyo atafanya vitu vyake katika Ukumbi wa Mlimani City Oktoba 9 na kule Rock City atatumbuiza Oktoba 13 pale Elevate.


No comments